Thomas Mashari amchakaza Galile
Bondia Selemani Galile akipambana na Thomasi Mashari 'Simba' wakati wa pambano lao la ubingwa wa Taifa, lililofanyika Dar es Salaam jana. Mashari alishinda kwa pointi na kunyakua ubingwa. (Picha Super D, Mnyamwezi)

No comments:
Post a Comment