TANGAZO


Monday, April 23, 2012

Mafunzo ya kuwajengea uwezo wakaguzi wa ndani

Mkaguzi Mkuu Msaidizi wa Ndani (Assistant Internal Auditor General), Emmanuel Subi akieleza malengo ya mafunzo ya siku nne ya wakaguzi wa ndani kutoka Wizara mbalimbali na Idara zinazojitegemea leo jijini Dar es Salaam juu ya kuwajengea uwezo wakaguzi hao katika kufanya ukaguzi unaozingatia maeneo hatarishi ili kupunguza hoja za kikaguzi. (Picha  na Tiganya Vincent-MAELEZO- Dar es Salaam)


Kaimu Mkaguzi Mkuu wa Ndani, Constantine Mashoko, akifungua mafunzo ya siku nne ya wakaguzi wa ndani kutoka Wizara mbalimbali na Idara zinazojitegemea  jijini Dar es salaam, leo juu ya kuwajengea uwezo wakaguzi hao katika kufanya ukaguzi unaozingatia maeneo hatarishi ili kupunguza hoja za kikaguzi. 


Baadhi ya wakaguzi wa ndani  kutoka Idara zinazojitegemea na Wizara mbalimbali wakiwa katika mafunzo ya siku nne ya kuwajengea uwezo wakaguzi hao juu ya kufanya ukaguzi unaozingatia maeneo hatarishi ili kupunguza hoja za kikaguzi. Mafunzo hayo yalmeanza leo jijini Dar es Salam na kufunguliwa na Kaimu Mkaguzi Mkuu wa Ndani, Constantine Mashoko. 





Baadhi ya wakaguzi wa ndani  kutoka Idara zinazojitegemea na Wizara mbalimbali wakiwa katika mafunzo ya siku nne ya kuwajengea uwezo wakaguzi hao juu ya kufanya ukaguzi unazingatia maeneo hatarishi ili kupunguza hoja za kikaguzi. Mafunzo hayo yameanza leo jijini Dar es Salam na kufunguliwa na Kaimu Mkaguzi Mkuu wa Ndani Constantine Mashoko.





No comments:

Post a Comment