TANGAZO


Thursday, April 12, 2012

Mabalozi wa nje nchini, wajitambulisha kwa Rais Shein, pia Msekela wa Tanzania

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Burundi nchini Tanzania Mhe. Issa Ntambuka, alipofika Ikulu mjini Zanzibar kujitambulisha leo. (Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu)


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Burundi nchini  Tanzania, Mhe. Issa Ntambuka, alipofika Ikulu mjini Zanzibar, kujitambulisha.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akifuatana na Balozi wa Burundi nchini  Tanzania Mhe. Issa Ntambuka, baada ya mazungumzo yao wakati alipofika Ikulu  mjini Zanzibar, kujitambulisha.




Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Balozi wa Burundi nchini  Tanzania Mhe. Issa Ntambuka, alipofika Ikulu mjini Zanzibar leo kujitambulisha.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Uturuki  nchini Tanzania Mhe.  Ali Davutoglu, alipofika Ikulu mjini Zanzibar kujitambulisha leo April 12, 2012.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Uturuki nchini Tanzania, Mhe. Ali Davutoglu, alipofika Ikulu mjini Zanzibar Kujitambulisha.


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akifuatana na Balozi wa Uturuki Nchini  Tanzania Mhe. Ali Davutoglu, baada ya mazungumzo yao wakati alipofika Ikulu, mjini Zanzibar kujitambulisha.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Balozi wa Uturuki nchini  Tanzania Mhe. Ali Davutoglu, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi mpya wa Tanzania nchini Italy, Mhe. James Alex Msekela, alipofika Ikulu mjini Zanzibar, kujitambulisha kwa Rais leo.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akifuatana na Balozi  mpya wa Tanzania nchini Italy, Mhe. James Alex Msekela, baada ya mazungumzo yao wakati alipofika Ikulu, mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais.



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Balozi  mpya wa Tanzania nchini Italy, Mhe. James Alex Msekela, alipofika Ikulu mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais leo.

No comments:

Post a Comment