TANGAZO


Thursday, April 5, 2012

Lema wa Chadema, avuliwa Ubunge na Mahakama


 Mmoja wa wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ambaye hakuweza kufahamika jina lake mara moja, akiangua kilio nje ya Mahakama hiyo mara baada ya hukumu hiyo.





 Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema, akizungumza mara baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Arusha kutengua ubunge wake, mjini Ausha leo. (Picha na Gladness Mushi - ARUSHA)


Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),  Freeman Mbowe akiongea na wananchi waliohudhuria katika Ofisi ya Chama hicho, mara baada ya Mahakama kutengua ubunge wa Godbless Lema, jijini Arusha leo. 

Mwenyekiti wa Chadema, Freman Mbowe (katikati), akizungumza na wananchi wakati akitoa taarifa ya kutenguliwa kwa Ubunge wa Godbless Lema (kulia), mjini Arusha leo. Kushoto ni Mbunge mteule  wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari.



No comments:

Post a Comment