Waziri wa Nishati na Madini, Wiliam Ngeleja, akisoma hotuba, Dar es Salaam leo katika uzinduzi wa Bodi ya ushauri wa Madini, uliofanyika hotel ya Hyatt Regency jijini. Bodi hiyo itakuwa ikitoa ushauri katika masuala mbalimbali yanayohusu usimamizi wa sekta ya madini, ikiwemo Serikali kuingia mikataba kwa Leseni Maalum za Uchimbaji (SML) na Leseni za Uhuishaji (SMl). (Picha na Dotto Mwaibale)
Waziri wa Nishati na Madini, Wiliam Ngeleja (kulia), akibadilishana mawazo na Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Ushauri wa Madini, Richard Kasesela (kushoto), Dar es Salaam leo. Katikati ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Adam Malima.
Waziri wa Nishati na Madini, Wiliam Ngeleja, akiwa katika picha ya pamoja na Kamati mpya ya Ushauri wa Madini.


No comments:
Post a Comment