Rais
Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mkono na Franklin Martins
wa cinevideo production ya Brazil Ikulu, Ijumaa usiku Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ikulu)
Rais Dk Jakaya Mrisho Kikwete, akizungumza na Franklin Martins
wa Kampuni ya cinevideo
productio ya Brazil, mara baada ya kufanya naye mahojiano juzi Ijumaa Usiku.
Rais Dk.Jakaya Mrisho Kikwete, akipeana mikono na Franklin Martins
wa cinevideo production ya Brazil baada ya kufanya naye mahojiano Ijumaa
usiku, Ikulu jijini Dar es Salaam. Martins aliwahi kuwa Waziri wa Mawasiliano ya Habari (social communication) wa Brazil wakati wa utawala
wa Rais lula. kulia ni producer na director wa cinevideo bi monica montiero.
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na kundi la cinevideo production la Brazil baada ya kufanya nayo mahojiano Ijumaa usiku, Ikulu
jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment