Kocha wa mchezo wa Masumbwi, Abdalah Ilamba 'Komandoo', akimfanyisha mazoezi ya kukaza misuli ya tumbo, bondia Francis Cheka, Dar es Salaam leo. Chaka anajiandaa na mpambano wake na Mada Maugo, utakaofanyika Jumamosi hii katika ukumbi wa PTA, Sabasaba ambapo mshindi, atakuwa bingwa wa Mkanda wa I.B.F na kujinyakulia zawadi ya gari. (Picha na Super D, Mnyamwezi)
Kocha wa mchezo wa Masumbwi Abdalah Ilamba 'Komandoo' akimfanyisha mazoezi ya kukaza misuli ya paja na tumbo, Francis Cheka katika mazoezi yake jijini Dar es salaam jana, kujiweka sawa kwa mpambano wake na Mada Maugo, utakaofanyika Jumamosi hii, ukumbi wa PTA Sabasaba.
No comments:
Post a Comment