TANGAZO


Wednesday, April 25, 2012

Airtel yakabidhi vitabu Shule za Sekondari za Hurui, Goma, Gubali na Itaswi, Kondoa

Ofisa mauzo wa Airtel Kanda ya kati, Hillary Tarimo, akimkabithi vitabu vya taaluma, Mwalimu wa taaluma  shule ya sekondari Hurui, Leonard Cyprian Ngotta katika hafla iliyofanyika Shule ya Sekondari ya Gubali, ambapo Airtel kupitia programme ya shule yetu imegawa vitabu kwa shule za Sekondari nne ziliziko Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma, leo. Shule zilizopatiwa vitabu ni pamoja na Goma, Gubali, Itaswi na Hurui. Katika ni Kessy Musilenga Kessy, Makamu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Gubali.


Ofisa Mauzo wa Airtel Kanda ya Kati, Hillary Tarimo, akimkabidhi vitabu vya taaluma,  Mwalimu mkuu wa shule ya sekondari Itaswi, Ibrahim Juma Mwesi, katika halfa iliyofanyika katika shule ya Sekondari ya Gubali, wakati wa hafla hiyo. Katikati ni Makamu Mkuu wa shule ya Sekendari Gubali, Kessy Musilenga Kessy. 

No comments:

Post a Comment