Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kuashiria
uwekaji wa Jiwe la msingi Maskani ya Idrissa Abdulwakil,iliyopo Meya Mjini
Zanzibar,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Mjini
leo.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na wananchi
pamoja na wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Tawi la Meya Jimbo la Mpendae,wakati wa
sherehe za uwekaji wa Jiwe la msingi Maskani ya Idrissa Abdulwakil,iliyopo Meya
Mjini Zanzibar,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama chake hicho, Wilaya ya
Mjini leo.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo ya ujenzi
kutoka,kwa Makame Mabrouk Hassan, Mwenyekiti wa Maskani ya Idrissa
Abdulwakil,baada ya kuweka Jiwe la msingi Maskani hiyo,iliyopo Meya Jimbo la
Mpendae Mjini Zanzibar,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi
Wilaya ya Mjini leo.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi Kadi ya
CCM,Amina Abdalla Mohamed,akiwa ni mwanachama mpya wa CCM Tawi la Meya Jimbomla
Mpendae,katika sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Maskani ya Idrissa
Abdulwakil,huko Meya akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Wilaya
ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
Miongoni mwa viongozi wa CCM waliohudhuria katika
sherehe za Uwekaji wa jiwe la msingi maskani ya Idrissa Abdulwakil,wakimsikiliza
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na wanachama hicho Tawi la
CCM Meya,alipokuwa katika ziara ya Wilaya ya Mjini ya kuimarisha Chama Cha
Mapinduzi.
No comments:
Post a Comment