Rais Jakaya Kikwete,
akimwapisha Katibu Tawala mpya wa Mkoa wa Mbeya, Mariam Mtunguja, Ikulu, Dar es
Salaam leo. Katika hafla hiyo Rais aliwaapisha pia makatibu Tawala wa mikoa
mingine kama ifuatavyo, Dk. Faisal Issa (Kilimanjaro), Eliya Ntandu Morogoro),
Severine Kahitwa (Geita), Emmanuel Kalobelo (Katavi), Hassan Bendeyeko (Ruvuma)
na Dk. Anselem Tarimo (Shinyanga). (Picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment