Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano, Samia Suluhu Hasani, akipata maelezo kutoka kwa Ofisa Mipango wa Wilaya ya Mkoani, Amour leo juu ya mradi wa usambazaji umeme, huko Magomba katika Jimbo la Mkanyageni, Mkoa wa Kusini Pemba. (Picha na Ali Juma)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Rais Muungano, Samia Suluhu
Hasani, akizunguza jambo na Mbunge wa Jimbo la Mkanyageni,
Habib Juma Mnyaa, mara baada ya kumaliza kungalia usambaji wa
umeme katika vijiji vya Jimbo hilo, ambao umefadhiliwa
na Mfuko wa Maendeleo ya Jimbo (CDCF)kisiwani Pemba.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano, Samia Suluhu Hasani, akieleza jambo wakati alipokuwa akioneshwa bwawa, wakati wa ukaguzi wa Mradi wa Ufugaji wa Samaki unaofadhiliwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii, Tasaf huko Chambani, kisiwani Pemba.
No comments:
Post a Comment