Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini, wakifuatilia mazungumzo ya Balozi mpya wa China nchini, Lu Youqing, kuhusu awamu ya uongozi wake nchini ambapo alivitaja vipaumbele vyake kuwa ni kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na China.
Thursday, March 15, 2012
Balozi mpya wa China nchini ajitambulisha kwa waandishi wa habari
Balozi mpya wa China nchini Tanzania, Lu Youqing (katikati) akizungumza na waandishi wa habari, kuhusu awamu ya uongozi wake nchini Tanzania na vipaumbele vyake katika kuimarisha ushirikiano na kuleta maendeleo ya Tanzania na China leo, jijini Dar es Salaam. Wengine kushoto ni Mshauri wa masuala ya Siasa katika ubalozi huo, Fu. Jijun na Mshauri Mwandamizi wa uhusiano wa Ubalozi, HU Changming. (Picha na Aron Msigwa –MAELEZO.)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment