Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipiga fimbo mfano wa umbo
la yai
ikiwa ni ishara ya kuzindua matokeo ya utafiti wa kuboresha ufugaji wa
kuku wa asili katika hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee leo
jijini Dares Salaam. (Picha zote na Magreth Kinabo - Maelezo)
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiangalia chanjo
dhidi ya magonjwa ya mdodo na kideri
huku akipata maelezo kutoka kwa , Dk. Gabriel Shirima wa Maabara Kuu ya Mifugo ya Temeke kuzindua matokeo ya utafiti wa kuboresha
ufugaji wa kuku wa asili katika hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond
Jubilee leo jijini Dares Salaam.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akifurahia ubunifu wa mfano
wa umbo la mfano wa yai
ikiwa ni ishara ya kuzindua matokeo ya utafiti wa kuboresha ufugaji wa
kuku wa asili katika hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee leo
jijini Dares Salaam.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipata maelezo ya ufugaji kuku wa
asili kutoka kwa mfugaji , Godfrey
Mwaipopo mkazi wa Kibaha wakati wa
uzinduzi wa matokeo ya utafiti wa
kuboresha ufugaji wa kuku wa asili katika hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa
Diamond Jubilee leo jijini Dares Salaam.
Baadhi ya wadau wa
uzinduzi wa matokeo ya utafiti wa
kuboresha ufugaji wa kuku wa asili katika hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa
Diamond Jubilee leo jijini Dares Salaam.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akifafanua jambo katika picha ya pamoja na wadau wa uzinduzi
wa matokeo ya utafiti wa kuboresha
ufugaji wa kuku wa asili katika hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond
Jubilee leo jijini Dares Salaam.
No comments:
Post a Comment