Kiongozi wa jopo la Mpango wa Hiari wa Nchi za Umoja wa Afrika wa Kujipima kwa vigezo vya utawala bora (APRM) Akere Tabeng Muna (katikati), akizungumza na waandishi wa habari, Dar es salaam jana, kuhusu ziara ya ujumbe wa maafisa kutoa APRM ambao wamekuja nchini kwa ajili ya kupata maoni ya wananchi juu ya utawala bora na demokarsia. Wengine katika picha ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mahadhi Juma Maalim (kushoto) na Mwenyekiti wa Bodi ya APRM, Tawi la Tanzania, Profesa Hasa Mlawa. (Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO_Dar es Salaam)
Saturday, March 3, 2012
Ujumbe wa APRM waingia nchini
Kiongozi wa jopo la Mpango wa Hiari wa Nchi za Umoja wa Afrika wa
Kujipima kwa vigezo vya utawala bora (APRM) Akere Tabeng Muna (katikati),
akizungumza na waandishi wa habari, Dar es salaam jana, kuhusu ziara ya
ujumbe wa maafisa kutoa APRM ambao wamekuja nchini kwa ajili ya kupata maoni ya
wananchi juu ya utawala bora na demokarsia. Wengine katika picha ni Naibu Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mahadhi Juma Maalim (kushoto) na
Mwenyekiti wa Bodi ya APRM, Tawi la Tanzania, Profesa Hasa Mlawa. (Picha na Tiganya
Vincent-MAELEZO_Dar es Salaam)
Kiongozi wa jopo la Mpango wa Hiari wa Nchi za Umoja wa Afrika wa Kujipima kwa vigezo vya utawala bora (APRM) Akere Tabeng Muna (katikati), akizungumza na waandishi wa habari, Dar es salaam jana, kuhusu ziara ya ujumbe wa maafisa kutoa APRM ambao wamekuja nchini kwa ajili ya kupata maoni ya wananchi juu ya utawala bora na demokarsia. Wengine katika picha ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mahadhi Juma Maalim (kushoto) na Mwenyekiti wa Bodi ya APRM, Tawi la Tanzania, Profesa Hasa Mlawa. (Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO_Dar es Salaam)
Kiongozi wa jopo la Mpango wa Hiari wa Nchi za Umoja wa Afrika wa Kujipima kwa vigezo vya utawala bora (APRM) Akere Tabeng Muna (katikati), akizungumza na waandishi wa habari, Dar es salaam jana, kuhusu ziara ya ujumbe wa maafisa kutoa APRM ambao wamekuja nchini kwa ajili ya kupata maoni ya wananchi juu ya utawala bora na demokarsia. Wengine katika picha ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mahadhi Juma Maalim (kushoto) na Mwenyekiti wa Bodi ya APRM, Tawi la Tanzania, Profesa Hasa Mlawa. (Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO_Dar es Salaam)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment