TANGAZO


Saturday, March 3, 2012

Sioi Sumari, mgombea wa CCM Arumeru

 MGOMBEA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika uchaguzi wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari, anavyoonekana pichani. (Picha na Bashir Nkoromo).




Sioi (katikati), akiwa na baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Arusha na Wilaya ya Arumeru alipopita Ofisi ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam leo, muda mfupi baada ya CCM kumtangaza kuwa mgombea wake baada ya uamuzi wa Kamati Kuu leo.




Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye, akizungumza na waandishi wa habari leo, katika Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Dar es Salaam, ambapo alimtangaza mgombea wa Chama hicho, jimbo la Arumeru Mashariki kuwa ni Sioi Sumari. 

No comments:

Post a Comment