Mjumbe wa Taasisi ya Hassan Maajar Trust, Zuhura Sinare Murro, akizungumza katika uzinduzi wa duka la hisani la taasisi ya Hassan Maajar Trust, uliofanyika kwenye jengo la Arcade Mikocheni, jijini Dar es salaam, ambapo duka hilo linauza vifaa mbalimbali zikiwemo ngua za kiume, nguo za kike, viatu pamoja na vitu mbalimbali.
Mkurugenzi Mtendaji wa Hassan Maajar Trust, Zena Maajar Tenga, akizungumza katika uzinduzi huo, uliofanyika asubuhi hii, Mikocheni jijini Dar es salaam.
Wageni mbalimbali wakipata chakula katika hafla hiyo.
Wageni waalikwa katika uzinduzi huo wakibadilishana mawazo.
Watoto kutoka shule ya msingi ya Ushindi Mikocheni wakiimba wimbo wa taifa katika hafla hiyo.
Mjumbe wa Taasisi ya Hassan Maajar Trust, Zuhura Sinare Murro, akipata chakula na baadhi ya wageni walioalikwa katika hafla hiyo.
Mjumbe wa Taasisi ya Hassan Maajar Trust, Zuhura Sinare Murro, akionesha ngua zilizopo katika duka hilo.
Wageni waalikwa wakiangalia nguo katika duka hilo.
Mdau wa taasisi hiyo, Fredrick Njoka akiangalia suti katika duka hilo.
No comments:
Post a Comment