TANGAZO


Saturday, March 31, 2012

Simba ilivyoigagadua African Lyon, Uwanja wa Taifa Dar

 Mchezaji Felix Sunzu wa Simba, akimtoka Khamis Yussuf wa African Lyon, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo jioni. Simba ilishinda mabao 2-0. (Picha na Kassim Mbarouk) 



 Mchezaji Salum Machaku wa Simba, akipiga mpira langoni kwa African Lyon mbale ya wachezaji Aman Kiata na Sunday Bakary wa timu hiyo.


 Uhuru Seleman wa Simba, akijaribu kumpiga chenga Hamis Thabit wa African Lyon katika mchezo huo.


Jonas Gerald wa Simba, akimtoka Hamsi Thabit wa Afrcan Lyon.


Mashabiki wa timu ya Simba wakifuatilia mchezo baina ya timu hizo, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo jioni.

No comments:

Post a Comment