TANGAZO


Friday, March 23, 2012

Sioi aendelea kuchanjambuga kampeni Kata ya Ngwaranga, Arumeru


Mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari na Mratibu wa kampeni za CCM, Mwigulu Nchemba wakisalimia wananchi walipowasili katika kata ya Ngwaranga kwa ajili ya mkutano wa kampeni jimboni humo,  jana. (Picha na Bashir Nkoromo)


Wananchi wakiulaki kwa shamrashamra msafara wa Sioi katka kijiji cha Ngwaranga.


Mgombea Ubunge wa CCM, Jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari akishauriwa jambo na Mbunge wa Hanang, Mary Nagu (kulia), wakati wa mkutano wa kampeni za Chama hicho,  kata ya Ngwaranga, jimboni humo, jana. Katikati ni Katibu wa NEC, Oganaizesheni CCM, Asha Abdallah Juma.



Mwigulu akimnadi Sioi katika mkutano uliofanyika Kata ya Ngwaranga.


Mtoto Moreen Ajuaeli mwenye umri wa miezi minane akiwa amepanpwa na mama yake, Rose Shayo (kushoto) kwa skafu ya CCM, kwenye mkutano wa kamepeni za CCM, kijiji cha Ngwaranga.



Mgombea wa CCM Sioi Sumari, akizungumza na wananchi, wakazi wa kijiji hicho.


Mratibu kampeni za CCM Mwigulu Nchemba, akizungumza katika mkutano huo.

Mfanyabiashara ya genge , akiwa nyumbani kwake, eneo la Liganga, Usa River, akimnadi kiana mgombea Ubunge wa  Arumeru Mashariki Sioi Sumari kwa kuchanganya bango la mgombea huyo na bidhaa zake.

No comments:

Post a Comment