TANGAZO


Friday, March 23, 2012

Rais Kikwete, azungumza na Naibu Waziri wa Biashara wa China Ikulu


Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa katika mazungumzo na Naibu Waziri wa Biashara wa Jamhuri ya Watu wa China, Li Jonzhao baada ya mgeni huyo na ujumbe wake kumtembelea Ikulu Dar es salaam leo March 23, 2012 kwa mazungumzo. Katikati yao ni mkalimani na wengine ni ujumbe wa msafara huo. (Picha na Ikulu )


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Naibu Waziri wa Biashara wa Jamhuri ya Watu wa China, Li Jonzhao, baada ya mgeni huyo na ujumbe wake kumtembelea Ikulu Dar es salaam leo, March 23, 2012 kwa mazungumzo.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Biashara wa Jamhuri ya Watu wa China, Jonzhao na ujumbe wake walipomtembelea Ikulu Dar es salaam leo March 23, 2012 kwa mazungumzo. Mawaziri wa Fedha, Mustafa Mkullo, Uchukuzi Dk. Omar Nundu na Nishati na Madini, William Ngeleja walihudhuria mazungumzo hayo.

No comments:

Post a Comment