TANGAZO


Friday, March 23, 2012

Francis Cheka, Mada Maugo kuwania mkanda wa IBF


Bondia Mada Maugo akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam  wakati wa kusaini mkataba huo leo, kupigania ubingwa IBF raundi 12, pambano litakarofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba Aprili 28, mwaka huu. (Picha na Super D, Mnyamwezi.)
 
 
Bondia Francis Cheka akizungumza na waandishi wa habari leo, kupigania ubingwa IBF raundi 12, pambano litakarofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba Aprilo 28, mwaka huu
 
 
 
Makamu Mwenyekiti wa Oganizesheni ya ngumi za Kulipwa Nchini, Madaraka Nyerere (kushoto), akiwaelekeza mabondia Francis Cheka kulia na Mada Maugo jinsi ya kusaini mkataba wa makubaliano wa kupigania ubingwa IBF raundi 12, pambano litakarofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba Aprilo 28, mwaka huu.

No comments:

Post a Comment