TANGAZO


Friday, March 23, 2012

Mkutano wa wadau kupitia na kujadili Mwongozo wa kuhimili mabadilikoTabianchi

Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa wadau Kupitia na kujadili Mwongozo wa ujumuishaji wa Masuala ya kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi,wakiwa kwenye mkutano huo, Hotel ya Giraffe Ocean View, jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Ali Meja)

 Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Ngosi Mwihava, akizungumza katika ufunguzi wa Mkutano wa wadau Kupitia na kujadili Mwongozo wa ujumuishaji wa Masuala ya kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi,inayofanyika Hotel ya Giraffe Ocean View, jijini Dar es Salaam leo.


  Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Ngosi Mwihava akiwa katika Picha ya Pamoja na washiriki wa Mkutano wa wadau Kupitia na kujadili Mwongozo wa ujumuishaji wa Masuala ya kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi,inayofanyika Hotel ya Giraffe Ocean View, jijini Dar es Salaam leo.


Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais, Eng. Ngosi Mwihava, akizungumza na Mkugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira, Ofisi ya Makamu wa Rais, Magdalena Mtenga wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa kutatua na kujadili Mwongozo wa Ujumuishaji wa Masuala ya Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi Hotel ya Giraffe Ocean View.

No comments:

Post a Comment