TANGAZO


Friday, March 23, 2012

Lipumba na Maazimio ya CUF

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Lipumba, akisoma maazimio ya kikao cha Baraza Kuu la Uongozi, wakati alipokutana na waandishi wa habari, Makao Makuu ya chama hicho, Buguruni,  Dar es Salaam. (Picha na Kassim Mbarouk)

Baadhi ya waandishi wa habari, wakimsikiliza Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, wakati alipokuwa akisoma maazimio ya kikao cha Balaza Kuu la Uongozi, kilichofanyika hivi karibuni, jijini Dar es Salaam.


Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, Makao Makuu ya chama hicho, Buguruni,  wakati alipokuwa akisoma maazimio ya kikao cha Baraza Kuu la Uongozi la Taifa, Dar es Salaam leo. Kulia Naibu Katibu Mkuu Bara, Julius Mtatiro.

No comments:

Post a Comment