Mkurugenzi Mkuu wa
Kampuni ya kuyeyusha shaba Tanzania ya Danformation Tanzania Ltd, Joshua
Dalgaard akionesha kipeperushi kinachoonesha madini ya shaba katika mkutano na
waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu mchango wa kampuni hiyo katika
kuinua uchumi wa Taifa pamoja na kuitambulisha kampuni kwa Umma. Kushoto ni
Mkurugenzi Msaidizi wa kampuni hiyo, Christopher Msengi. (Picha na Richard Mwaikenda)
Mtendaji Msaidizi wa
Kampuni hiyo, Christopher Msengi (kushoto) akifafanua jambo wakati wa mkutano
huo. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hiyo, Joshua Dalgaard.
No comments:
Post a Comment