TANGAZO


Monday, March 26, 2012

Rais Kikwete, aongoza mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Liwale, Hayati Victor Chiwele, Kibaha

 Rais Jakaya Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Liwale, marehemu Victor Paul Chiwile, wakati wa mazishi, Kibaha Picha ya Ndege, mkoani Pwani leo, Machi 26, 2012. (Picha na Ikulu)


 
 Rais Kikwete akiwa na Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Mkuu wa Mkoa wa Pwani,  Mwantumu Mahiza na Mkuu wa Mkoa wa Lindi, wakiwa mazikoni Kibaha.




Rais Kikwete akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Liwale, marehemu Victor Chiwile, wakati wa mazishi mjini Kibaha, Picha ya Ndege mkoani  Pwani.

No comments:

Post a Comment