Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akimwapisha Luteni Kanali Mohamed Mwinjuma Kombo, kuwa Mkuu wa Kikosi cha Valantia Zanzibar, jana baada ya kumteua kushika nafasi hiyo, katika hafla ilifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo.
Luteni Kanali Mohamed Mwinjuma Kombo, Mkuu wa Kikosi cha
Valantia Zanzibar
No comments:
Post a Comment