TANGAZO


Friday, March 16, 2012

Rais Kikwete aagana na Mabalozi wapya watakaoiwakisha Tanzania nchi za nje


Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akizungumza na Balozi Mpya wa Tanzania nchini Italia Dk. James Msekela Ikulu jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Freddy Maro)

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Balozi mpya wa Tanzania nchini Uganda, Dk. Ladislaus Komba, Ikulu jijini Dar es Salaam leo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akizungumza na Balozi mpya wa Tanzania nchini Msumbiji Shamim Nyanduga Ikulu jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment