TANGAZO


Friday, March 16, 2012

Airtel yakabidhi kitita cha Promosheni ya Nani Mkali

Ofisi Mawasiliano wa Kampuni ya Simu ya Airtel, Dangio Kaniki, Akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati wa kumtangaza  na kumkabidhi mshindi wa mwenzi wa sh. milioni 30 wa promosheni ya Nani Mkali, ambapo Abdi Ibrahim Mohamed, Mkazi wa Muheza Tanga (pichani), aliibuka mshindi wa kitita cha milioni 30 fedha taslimu. (Picha na mpigapicha wetu)



Afisa Uhusiano wa Airtel, Jane Matinde, akimkabidhi mshindi wa milioni 30 wa promosheni ya Nani Mkali, Abdi Ibrahim Mohamed aliyeibuka mshindi wa kwanza wa mwenzi katika promosheni ya Nani Mkali, inayoendelea inayowapa wateja wa Airtel nafasi ya kujishindia pesa taslim. Akishuhudia katikati ni Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Airtel, Dangio Kaniki.


Mshindi wa million 30 wa droo wa mwenzi ya Nani Mkali ya Airtel,   Abdi Mohamed, akizungumza mara baada ya kukabidhiwa shilling millioni 30, baada ya kuibuka mshindi wa kwanza wa mwenzi wa  promosheni ya Nani Mkali. Kulia ni Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Airtel, Jane Matinde na katikati ni Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Airtel, Dangio Kaniki.


Ofisi Mawasiliano wa Airtel, Dangio Kaniki, Akizungumza na waandishi wa habari, wakati wa kumtangaza  na kumkabidhi mshindi

wa mwenzi wa milioni 30 wa promosheni ya Nani Mkali ambapo Abdi Ibrahim Mohamed, Mkazi wa Muheza Tanga, aliibuka mshindi wa kitita cha milioni 30, fedha taslimu. Kushoto ni mshindi wa kitita hicho, Abdi Mohamed na kulia ni Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Airtel, Jane Matinde.

No comments:

Post a Comment