Rais Kikiwete apokea hati za mabalozi wapya nchini
Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo
amepokea hati za utamblisho za mabalozi watatu wanaoziwakilisha nchi zao hapa Tanzania. Mabalozi waliowasilisha hati zao Ikulu mjini Dar es Salaam, niBin Abdullah bin
Mohamed Mu’minah wa Saudi Arabia, Askofu Mkuu
Mhashamu Francisco Mentecillo Padilla wa Vatican, na Bi. Judith Kangoma
Kapijimpanga wa Zambia. Pichani, Balozi mpya wa Vatican nchini, Askofu Mkuu
Mhashamu Francisco Montecillo Padilla akiwasilisha hati zake kwa Rais Kikwete.
Katikati anayeshuhudia ni Mkuu wa Itifaki Balozi Antony Itatiro.(picha na Freddy
Maro-Ikulu)
No comments:
Post a Comment