Rais wa Chama cha
Madaktari nchini (MAT), Dk Namala Mkopi (kushoto), akiwatangazia waandishi wa
habari kuanza rasmi kwa mgomo wa madaktari nchi nzima baada ya kumalizika
mkutano wa madaktari uliofanyika jana jijini Dar es Salaam. Kulia ni Makamu
Mwenyekiti wa Jumuia ya Madaktari, Dk Godbless Charles.
No comments:
Post a Comment