Mwenyekiti
wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na
Watoto Sophia Simba akiinua kitenge kushangilia wakati akijumuika na wanawake
wenzake kusakata muziki katika sherehe za maadhimisho ya Siku ya Wanawake
Duniani, leo kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es
Salaam. |
Waziri
Sophia Simba akisakata muziki na wanawake kwenye sherehe
hizo. |
Wanawake kutoka Taasisi mbalimbali na wakijumika kucheza muziki kwa shangwe kubwa wakati wa sherehe hizo kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam leo. |
No comments:
Post a Comment