Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk. Harrison Mwakyembe, akiingia kwenye jego lenye Ofisi za Wizara yake, Mtaa wa Samora Dar es Salaam leo asubuhi. (Picha na Mpiga picha wetu)
Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk. Harrison Mwakyembe, akizungumza na waandishi wa habari, ofisini kwake, mara baada ya kuanza kazi rasmi leo asubuhi. Dk. Mwakyembe, alipatwa na maradhi ambayo hadi sasa ni kitendawili, ambapo alisafirishwa na kupelekwa nchini India na kuapatiwa matibabu yaliyochukua majumaa kadhaa kabla ya kurudi nchini yapata miezi miwili na ushei, iliyopita.
No comments:
Post a Comment