Mkuu wa Mkoa wa Arusha,
Magesa Mulongo, akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa wadau wa Mfuko wa Taifa
wa Bima ya Afya mkoani Arusha leo.
(Picha na Mpigapicha wetu)
Mkurugenzi wa Fedha na Uwekezaji wa NHIF, Rutazaa
akiwasilisha mada ya utekelezaji ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kuanzia mwaka
2001.
Wadau wa NHIF, wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa katika mkutano wao huo.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo, akifurahia jambo
na mjumbe wa bodi ya NHIF, Mwanaidi Mtanda. |
Wadau wa NHIF, wakisikiliza kwa makini mada iliyokuwa ikiwasilishwa kwenye mkutano huo.
.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo (kushoto), akiagana na baadhi ya viongozi wa Wilaya na Mkoa, mara baada ya ufunguzi wa mkutano
huo.
Meneja wa NHIF wa Kanda ya Kaskazini Magharibi, Alesia
akiwasilisha
mada kuhusu utekelezaji wa Mkoa wa Arusha katika Mifuko ya NHIF/CHF.
mada kuhusu utekelezaji wa Mkoa wa Arusha katika Mifuko ya NHIF/CHF.
Madaktari wakiendelea na zoezi la upimaji kwa wadau
waliohudhuria mkutano huo, ikiwa ni moja ya shughuli zinazoambatana na siku za
wadau.
|
No comments:
Post a Comment