TANGAZO


Wednesday, March 7, 2012

Rais Kikwete, akabidhi ripoti ya nchi kwa APRM

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akikabidhi ripoti ya makadirio ya nchi ya Tanzania kwa kiongozi wa APRM, Akere Muna katika hafla iliyofanyika viwanja vya Ikulu, Dar es Salaam, leo asubuhi. (Picha na Freddy Maro).

No comments:

Post a Comment