Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Omary Nyembo
A.K.A Ommy Dimpoz kushoto akizungumza na waandishi wa habari, Dar es salaam leo,
kuhusu onesho lake litakalofanyika katika viwanja vya Posta Kijitonyama jijini na
msanii kutoka, South Africa, Cleopas Monyepao (DJ Cloe) na Dumiseni Mkihanya na
Meneja wa Kinywaji cha Savana, Diana Musheruzi
Msanii wa muziki
kutoka South Africa, Cleopas Monyepao (DJ Cloe) kushoto, akizunumza na waandishi
wa habari, Dar es salaam leo, kuhusu onesho lake la leo ,litakalofanyika katika
viwanja vya Posta Kijitonyama kulia ni Msanii aliyeongozana nae Dumiseni
Mkihanya.
No comments:
Post a Comment