Rais Jakaya Mrisho
Kikwete, akiwakaribisha Ikulu jijini Dar es salaam viongozi wa Chama cha
Madaktari nchini leo mchana. Wa pili kushoto ni Mratibu wa mgomo wa madaktari, Stephen
Ulimboka na Kulia ni Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk. Namala
Mkopi. (Picha na Fredd Maro)
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete, akizungumza na viongozi wa Chama Cha Madaktari nchini (MAT),
Ikulu jijini Dar esSalaam leo mchana. (Picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment