TANGAZO


Tuesday, March 6, 2012

Mgombea wa CCM, Sioi achukua fomu ya Ubunge, Arumeru

 Wapenzi na washabiki wa Chama Cha Mapinduzi, wilayani Arumeru, wakimsindikiza mgombea wao, Sioi Sumari, kwenda kuchukua fomu za kugombea nafasi ya Ubunge kwa Msimamisi Mkuu wa Jimbo la  Uchaguzi la  Arumeru Mashariki, Ofisi za Halmashauri ya Meru, wilayani Arumeru. (Picha na Mahmoud Ahmad)






Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Arumeru Mashariki,Trasias Kagenzi (kulia), akimkabidhi mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Sioi Sumari, fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo hilo, leo Machi 6, wilayani humo.

No comments:

Post a Comment