Kikongwe anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 96, ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja, mkazi wa Mkoani wa Kilimanjaro, akiwa amezungukwa na umati mkubwa wa watu leo, baada ya kuzua tafrani eneo la kituo cha mabasi ya Dar Express katika eneo la Makao mapya, baada ya kudaiwa kuanguka kishirikina kwenye ungo, hata hivyo haikufahamika alikuwa akitokea wapi, baadae Polisi walifika na kuondoka nae. (Picha na Mahmoud Ahmad)
No comments:
Post a Comment