Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Msaidizi Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Mkurugenzi Mtendaji wa Masuala ya Sera na Miradi, Kitengo cha Umoja wa Mataifa kinachoshughulikia Wanawake (UN Women), John Hendra pamoja na ujumbe aliofuatana nao walipofika Ikulu mjini Zanzibar leo Machi 06/03/2012. (Picha na Ramadhan Othman Ikulu Zanzibar)
Rais wa Zanzibar, Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Msaidizi Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Mkurugenzi Mtendaji wa Masuala ya Sera na Miradi, Kitengo cha kinachojishughulisha na masuala ya wanawake (UN-Women), Mr John Hendra, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar Ikulu, mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar, Dk.Ali Mohamed Shein, akiagana na Msaidizi Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Mkurugenzi Mtendaji wa Masuala ya Sera na Miradi, Kitengo cha UN Women, John Hendra, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo 06/03/2012.
Rais wa Zanzibar, Dk.Ali Mohamed Shein, akiagana na Maidizi Katibu Mkuu na Mkurugenzi Mtendaji wa Masuala ya Sera na Miradi, Kitengo cha UN Women, John Hendra, baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
No comments:
Post a Comment