TANGAZO


Saturday, March 31, 2012

Mahafali ya Jeshi la Polisi Moshi


Katibu Mkuu wa Mambo ya Ndani, Mbaraka Abdulwakil, akitoa zawadi kwa mmoja wa Wahitimu wa Polisi, kulia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Saidi Mwema.




Gwaride likipita mbele ya mgeni rasmi kwa mwendo wa haraka likitoa heshma.

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Saidi Mwema, akiongoza jeshi hilo, wakati likipita mbele ya mgeni rasmi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Mbaraka Abdulwakil.

No comments:

Post a Comment