Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, wakati alipokwenda kuzungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam, Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini leo.
Rais Jakaya Kikwete, akiingia ukumbini kabla ya kuzungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam kuhusu mgomo wa madaktari.
Baadhi ya wananchi waliokuwa kwenye mkutano huo, wakipigamakofi kushangilia hotuba ya Rais Kikwete katika mkutano huo.
Wananchi wakiwa wamefurika kwenye ukumbi huo, wakati wa mkutano huo.
Baadhi ya viongozi, Mawaziri na watu mashuhuri, wakiwa kwenye mkutano huo.
Baadhi ya wazee na viongozi wa kijamii, wakiwa kwenye mkutano huo.
Rais Jakaya Kikwete, akizunguma na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam, kuelezea kisa cha mgogoro mzima wa mgomo wa madaktari nchini, uliokoma juzi baada ya kuonana nao juzi. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Said Meki Saidik na kushoto ni Mwenyekiti wa Wazee Mkoa wa Mwenyekiti wa baraza la Wazee, Mkoa wa Dar es Salaam, Idd Simba
No comments:
Post a Comment