TANGAZO


Sunday, March 18, 2012

Kampeni za CCM, zaingia Kata ya Kikatiti

 Mratibu wa kampeni za CCM, uchaguzi mdogo jimbo la Arumeru Mashariki, Mwigulu  Nchemba (kushoto) akimtambulisha kwa wananchi mgombea ubunge wa CCM, Sioi Sumari, katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo, Kata ya Kikatiti jimboni humo, mkoani Arusha. Kulia ni mwimbaji wa kundi la TOT anayefahamika kwa jina la Juakali. (Picha na Bashir Mkoromo)



SISI NI CCM DAMU: Wanafunzi wa kidato cha pili shule ya sekondari Kikatiti, Arusha, Sharom Ayo na Anna Mbise wakiifagilia CCM, wakati wa mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Kata ya Kikatiti, Jimbo la Arumeru Mashariki, leo.

No comments:

Post a Comment