Mabondia Ramadhani Shauri wa Tanzania (kushoto) na Gabliel Ochiang wa Kenya wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito, Dar es salaam jana kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika, leo katika ukumbi wa Friends Corner, Manzese jijini. (Picha na Super D, Mnyamwezi)
Bondia Ramadhani Shauri (kushoto), akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Gabriel Ochiang wa Kenya.
No comments:
Post a Comment