TANGAZO


Sunday, March 18, 2012

Kampeni za kugombea Ubunge Arumeru Mashariki, Chadema zapambamoto

 Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk.Willibrod Slaa akipokelewa na wananchi wa kata ya Akheri alipowahutubia katika mkutano wa kampeni wakumnadi a mgombea ubunge wa jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chadema (Picha na Janeth Mushi)


 Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk.Willibrod Slaa akimnadi mgombea ubunge wa chama hicho, Joshua Nasri kwa wananchi wa kata ya Akheri, wakati allipowahutubia katika mkutano wa kampeni  wa jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chadema.



 Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Nguruma katika mkutano wa kampeni za mgombea ubunge wa jimbo la Arumeru Mashariki kupitia chama hicho, Joshua Nassari (kulia) jana. katika eneo la Soko la ndizi, kwa pole kata ya Akheri.

No comments:

Post a Comment