Waziri wa Elimu na Mafunzo
ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa, akikata utepe ili kuashiria uzinduzi wa kampeni ya
tigo tuchange leo. Kulia ni Meneja Mkuu Msaidizi wa Kampuni ya Tigo,
Gutierrez na Mwakilishi wa Hassan Majaar Trust, Zena Tenga.
Baadhi ya waandamanaji
waliojitokeza katika kampeni ya Tigo tuchange, itakayoanza saa 5 mpaka 6 kwa
kutumia tigo rusha pesa zote zitakazopatikana kwa muda huo, zitanunuliwa madawati kwa
wanafunzi wa Tanzania. Maandamano hayo yalifanyika Ubungo, Dar es Salaam. (NA
MPIGAPICHA WETU)
No comments:
Post a Comment