TANGAZO


Saturday, March 31, 2012

CCM kilivyofunga kampeni za Ubunge Arumeru Mashariki

 Rais na Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Benjamin Mkapa, akimnadi mgombea wa Chama hicho, Sioi Sumari, kwenye mkutano wa kufunga kampeni uliofanyika kijiji cha King'ori, Arumeru Mashariki leo. (Picha zote na Bashir Nkoromo)




 Umati wa watu waliohudhuria mkutano huo, akisikiliza hutuba mbalimbali za viongozi wa CCM wakati wa kufunga kampeni hizo leo.


 Katibu Mkuu wa CCM, Mukama akihutubia wakazi wa Arumeru Mashariki katika kijiji cha King'ori leo. 




Aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa akisalimia wananchi katika mkutano huo, kijijini hapo.




 Wananchi waliojitokeza katika mkutano huo, kijijini hapo wakionesha mapenzi yao kwa CCM.




 Wananchi waliofika katika mkutano huo, wakinyanyua juu mikono yao kuonesha wanavyokiunga mkono Chama Cha Mapinduzi na mgombea wake. 




 Nape akihutubia katika mkutano huo wa kufunga kampeni leo. 




 Rais mstaafu, Benjamin Mkapa (kulia), akiwa na mgombea Ubunge wa Arumeru Mashariki, Sioi Sumari, wakiwapungia mikono wananchi waliojitokeza kwenye mkutano huo kijijini hapo leo.




 Naibu Waziri Mwanri na Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama, wakikumbatiana kwa furaha kwenye mkutano huo.




 Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa akimsalimia Katibu wa NEC, Oganaizesheni, Asha Abdallah Juma. Katikati ni Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Makamu Mwenyekiti wake, Pius Msekwa.



Waziri Mkuu wa zamani, Lowassa, akimsalimia Makamu Mwenyekiti wa CCM, Pius Msekwa. Kati ni Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama.




 Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa akisalimiana na katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama, kwenye mkutano huo, kijijini hapo.




 Aliyekuwa mratibu wa kampeni za CCM kata ya King'ori, Richard Ndassa ambaye pia ni Mbunge wa Sumve, akimkaribisha Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, alipowasili kwenye mkutano huo, kijini King'ori leo.





Rais Mstaafu, Benamin Mkapa akihutubia kwenye mkutano huo, kijijini hapo, ambapo alifunga rasmi kampeni za CCM, kabla ya kesho kupiga kura kumchagua mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki. 

No comments:

Post a Comment