Kocha wa Mchezo wa Masumbwi kutoka Sweeden, Juma Ntuve (kushoto), akimwelekeza bondia Thomas Mashari, wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa na pambano na bondia Selemani Galile, jijini April 9, mwaka huu. (Picha zote na Super D, Mnyamwezi)
Thomas Mashari akipiga ngumi ya kushoto kwenye kifaa cha kujikingia, alichokuwa anakitumia kocha Juma Ntuve, kutoka Sweeden, wakati akimpa mazoezi ya kujiandaa na mpambano wake na bondia Selemani Galile April 9, mwaka huu.
Bondia Thomasi Mashari akifanya mazoezi, Dar es Salaam leo, kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa na Selemani Galile, pambano litakalofanyika jijini April 9, mwaka huu.
No comments:
Post a Comment