TANGAZO


Tuesday, March 13, 2012

Airtel yazindua Internet yenye ubora wa 3.75g



Mkurugenzi Mkuu wa Airtel, Sam Elangalloor, akielezea kuhusu nguvu mpya ya huduma ya internet kwenye simu,  wakati wa uzinduzi wa Airtel 3.75G, Makao Makuu ya Kampuni hiyo, Dar es Salaam leo asubuhi. (Picha na Richard Mwaikenda)



Meneja Uhisiano wa Kampuni ya simu ya Airtel, Beatrice Singano (kushoto), akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, kuhusu huduma hiyo mpya. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Airtel, Sam Elangalloor.



 Mwandishi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Jane John, akifurahia zawadi ya Modem ya internet ya Airtel, aliyoshinda katika mchezo wa bahati nasibu uliochezwa hapo hapo.



Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia maelezo mbalimbali yaliyokuwa yakitolewa kwenye uzinduzi huo.

No comments:

Post a Comment