Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Balozi Philip Marmo wakati alipokwenda kumuaga, akielekea katika kituo chake cha kazi nchini China. (Picha na Freddy Maro)
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi mpya wa Tanzania nchini Kenya
Dk. Baltilda Burian, Ikulu jijini Dar es Salaam leo, asubuhi.
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na balozi mpya wa Tanzania nchini Zambia Grace Mujuma Ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
No comments:
Post a Comment