TANGAZO


Thursday, February 2, 2012

Waziri Membe aeleza yaliyojiri AU, mjini Addis Ababa

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernad Membe, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu mkutano wa Umoja wa Afrika, uliofanyika Addis Ababa, nchini Ethiopia, hivi karibuni. (Picha na Kassim Mbarouk)



 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernad Membe, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu mkutano wa Umoja wa Afrika (AU), uliofanyika Addis Ababa, nchini Ethiopia, hivi karibuni. Waziri Membe, alisema pamoja na mambo mengine mkutano huo, ulijadili kwa kina jinsi ya kuzisaidia nchi zilizopakana na Libya pamoja na Libya yenyewe kutokana na kusambaa kwa silaha zilizo kwenye mikono ya raia wasio waaminifu, ambazo huzitumia vibaya kwa kutenda mambo ya uhalifu. Kushoto ni Ofisa Uhusiano wa Wizara, Asaah Mwambene. (Picha na Kassim Mbarouk)

  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernad Membe, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati alipozungumza nao kuhusu mkutano wa Umoja wa Afrika (AU), mjini Addis Ababa, Ethiopia.



Waziri Membe, akizungumza na baadhi ya waandishi waliokuwa wakitaka ufafanuzi zaidi mara baada ya kuzungumza nao Ofisini kwake jijini leo.

No comments:

Post a Comment