Muonesha mavazi akiwa amevaa vazi lililobuniwa na Mustafa Hassanali akitembea wakati wa maonesho ya kuchangia waathirika wa Mafuriko, Hoteli ya Serena Januari 12, 2011.
Washindi walioingia fainali ya nguo za mbunifu, Mustafa Hassanali katika mashindano ya FIMA, mjini Niamey, nchini Niger, Novemba 26, 2011.
Mustafa Hassanali, akitembea na mmoja wa washiriki walivaa nguo alizozibuni ya vazi la Serengeti alilolizindua katika maonesho ya Mauritius yanayoendela.

No comments:
Post a Comment